Usioe wanawake wenye tabia hizi.

blogspot

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,259
2,000
Habari wakuu.

Poleni na mihangaiko ya kujenga taifa. Niende moja kwa moja katika Mada tajwa hapo juu.

Moja kati ya vitu ambavyo makosa yake ukkyafanya utajuta mpaka uzeeni ni kukosea KUOA au KUOLEWA.

Zifuatazo ni tabia ambazo ukiona mwanamke anazo basi usiweke nia ya kuoa tena kimbia mwendo wa treni ya umeme.

1: Mwanamke anaetoa malalamiko na mashitaka kila kukicha. Hawa ni wanawake ambao kila mnapokua karibu either umetoka kazini au katika mihanagaiko yako anakupokea kwa malalamiko na mashitaka kibao. Hawa hawafai kuoa.

2: Mwanamke anayesimulia sana kwa watu mambo aliyokusaidia. Hawa ni wanawake ambao huenda alimsaidia mwanaume kujikwamua katika hali mbalimbali. Hawa wakikaa na mashoga au marafiki zao wanaanza kusimulia "Kama sio mimi sijui huyu mwanaume angekua wapi" Hawa nao awafai kuoa.

3: Mwanamke aliyeachika au kufiwa na mume wake wa kwanza au wapili nk. Huyu atakua sio mwanamke wa kuoa endapo atakua anashindwa kuzuia hisia zake dhidi ya wanaume waliopita. Muda mwingine hata kwenye tendo ya ndoa hawa wanaanzaga kuwataja wanaume zao wakati wa kwichi kwichi.

4: Mwanamke msumbufu haswa mnapokuwa mmetoka outing. Hawa ni wanawake ambao kila anachokiona anataka umnunulie hajali upo katika hali gani either uchumi wa kati au wa chini. Hawa wanajua kufilisi sana vijana haswa vijana waliopewa miradi midogo midogo na wazazi wao huko mjini.

5:Mwanamke kiruka njia. Hawa ni wanawake ambao mwanaume ukiongea maneno mawili basi yeye kashaongea maneno mia moja. Hawa hawafai kuoa pia.

6: Mwanamke mchoyo. Hawa ni wanawake ambao ni wanauroho na uchoyo wa hali ya juu sana kana kwamba marafiki au ndugu wakija kukutembelea atawalisha vizuri tu ila wakiondoka utaskia "Mume wangu marafiki zako ni wakulima eh? Yaani watatu ila wamemaliza chakula Chote" haha sio wazuri pia kwa kuoa.

Usiku mwema wakuu.
 
JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,577

Mal*ya wa kuoa tu au?
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,841
2,000
Mwanamke asopenda watu, hawa ni wachoyo balaa, kanaweza kukuletea Bajeti za kijinga hata kama wee ndo mtafutaji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom