Usinunue iphone 13

Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.
Yaani humu watu mna vituko aise. Eti labda uibiwe..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hiyo kesho ni ya Mungu sio yako. Donโ€™t live in the future!
iPhone mtu asiyekuwa na uwezo wa kuinunua lazima awachukie walio na simu hizo lakini ukweli ni kuwa hata yeye anapenda awe nayo!
unadhani wote wasionunua hawana uwezo wa kununua.???
 
Mabadiliko sio makubwa sana ila yananitosha kunifanya ninunue Iphone 13 kww sababu zifuatazo.
1. 120hz refresh rate. Nimetumia Samsung S21 na hii refresh rate ni nzuri sana wakati Iphone 12 haina.
2. Kuongezeka kwa 2.5hrs usage kwenye battery life imekaa poa. 12 pro max ni moja ya simu zenye battery life nzuri tu.
3. Night modes kwenye all cameras is a cherry on top
4. Reduced notch ina maanisha battery indicator itarudi pale juu

Kwangu ni hayo tu
Iphone wanawatesa aseee
Mkuu!!! Unafurahi battery percentage kurudi pale juu??

Anyway samsung bosses apple ...no thats an understatement samsung bullies apple all day..everyday
 
Kufanya Mambo ya ghali ambayo hayana tija hiyo ni anasa simu ya mil 4

Aisee mm naomba mniambiae Mambo gani ya maana naweza fanya kwenye hiyo simu hadi hiyo million nne ikarudi
 
Kufanya Mambo ya ghali ambayo hayana tija hiyo ni anasa simu ya mil 4

Aisee mm naomba mniambiae Mambo gani ya maana naweza fanya kwenye hiyo simu hadi hiyo million nne ikarudi

Umasikini mbaya sana aisee........Tutafute hela mkuu

Jirani yangu anaona hata tekno ya lakini ni anasa
 
Iphone wanawatesa aseee
Mkuu!!! Unafurahi battery percentage kurudi pale juu??

Anyway samsung bosses apple ...no thats an understatement samsung bullies apple all day..everyday

Mkuu mbona unaniquote out of context na umeona nimetaja sababu nyingi tu....kuhusu battery parcentage haikuwa pale juu kwa sababu ya ukubwa wa notch na hii inatokana na face unlock features zilizowekwa. I hope unajua face unlock ya Iphone is the best in the market.

Mwisho wa siku nimetaja sababu zangu na wewe leta sababu zako tujadili.
 
Aisee apple ni wajanja sana

Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13

Bei yake iko juu sana

Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake

Kwa kifup hakuna jipya

MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
View attachment 1943222
HAHAHAHA......umaskiniii wakoo unakusumbua........wewe...........
...Wenye hela waxhanunua na wanaona mambo mapya...kama storage yake ya 1Tb xo mchezoo...n.k
 
Sielewi kwanini watumiaji wa iphone wanaonekana "wanajisikia" sana

Kama kigezo cha kuonekana malimbukeni sababu iphone ni GHALI......basi iphone sio simu ghali pekee, wapo akina Samsung Huwawei nk na wana bei ghali sana kwenye flag ship zao

Kwenye maisha kila mtu anavipaumbele vyake........hakuna raha kwenye maisha kama kufanya jambo unalolipenda na kuliamini wewe binafsi, ni raha zaidi kuliko kufanya mambo kwa mujibu wa "fomula"

Sio kila apendacho mwenzako lazima kilete maana kwako au ukitafsiri kwa mujibu wa ulivyo karirishwa maisha yanatakiwa kuwaje

Utakuta mtumiaji wa tekno labda anamtukana kweli mtumiaji wa iphone kwamba anachezea hela wakati amepnga kwa mtogole wakati yeye mwenye na tecno yake kapanga pia kwa mtogole, unabaki ujiuliza kwanini yeye asijenge masaki kwasababu anatumia tekno ya laki?

Jamani tutafuteni hela tushibishe matakwa ya nafsi zetu
Kama wewe unadhani kumiliki iphone ndio kukwamisha maendeleo yako hiyo ni wewe tu ujuaji wako, wenzako wanamiliki na wanapanda daladala kama wewe mwenye itel

Katika maisha yako hata siku moja usitumie umasikini wako kuharamisha matumizi ya vitu vizuri kwa wenzio
Kama wewe huwezi wenzio wana weza

mkuu sio iphone peke yake,hat ukutane na mtu mwenye s20 ultra lazima uanze kumkagua.
 
Nani maskini? Nitafute hela kwani Sina au umesikia kila mtu ni limbukeni
We ni masikini tu mwenye unafuu wa maisha

Watu wanaishi nyumba ya bilioni moja
Gari ya m500
Saa ya m10

Sasa wewe iphone ya m4 unalialia oooh itanilipaje?........... jibu ni simple HUNA HELA hizo

Hata mimi sina hizo hela lakini nikiwa nazo sitapenda kutumia tecno au kuendesha vitz

Unapaswa kujua kwamba ni vipato na vipaumbele ndio vinaamua maisha ya mtu
 
1 TB ni kubwa mno
labda kama unaendesha kiwanda au kampuni kubwa mkononi
vinginevyo ni upuuzi tu
mie hata kuangalia movie kwenye simu kunanishinda
sasa tv niliyonunua ya nini kama naweka movie kwenye simu

Tuna fagilia ujinga tu

wonder why mtu anatoa jicho moja ili apate macho matatu
Sio affordable kwako au haupo interested nayo ,au vyote kwa pamoja ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† ndio hipo hivyo mjomba.

Ukinunua simu ya 300k Kuna mtu anakuona unachezea hela tena atakupa ushauri bola ungewekeza sehemu....mm iPhone 13 kwangu is unffodable pia siyo chaguo langu Mimi sumsung lover

Usichokipenda usikitie najisi
 
hakuna cha maana humo
wanapigwa hao
 
We ni masikini tu mwenye unafuu wa maisha

Watu wanaishi nyumba ya bilioni moja
Gari ya m500
Saa ya m10

Sasa wewe iphone ya m4 unalialia oooh itanilipaje?........... jibu ni simple HUNA HELA hizo

Hata mimi sina hizo hela lakini nikiwa nazo sitapenda kutumia tecno au kuendesha vitz

Unapaswa kujua kwamba ni vipato na vipaumbele ndio vinaamua maisha ya mtu
na kwa akili zako hizi huji kuzipata utaishia kuziwaza tu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom