Usiniulize nimeipata wapi...

hii picha itawaadabisha, wangevaa nguo za kiraia, pili huyo mke wa mtu kama ni askari mwenzake patatembea risasi za moto. yaani patachimbika
 
Mkuu asante mimi siitaji kuku uliza umepata wapi,kwa sababu hawa wahusika nawajuwa hasa mwanamke na vituo vyao vya kazi navijua. hii haistahili kabisa. ila ni wazi kuonyesha selikari ilivyo mbovu mpaka walinda amani wanafanya ujinga na uniform za ofisi. ni dhaili na wao wanaziona hizi uniform kama kawaida tu.
 
attachment.php
.... kazi na dawa
 
.... kazi na dawa

Jamani hiyo picha hapo ya ma traffic ni Kagera wilaya ya Missenyi, na jamaa ni wa depo yetu anaitwa Mpaji na demu anaitwa Veronika Mdemu! Yaani wako kwenye hoti supu saa hii! wako kwa ocd! Picha ni ya leo mchana!

Copy and paste
 
Afande kurakura amefaidi kipotabo cha watu, sasa ajiandae kutoa K ndogo kwa kula vya watu..
 
Kosa la kwanza: kuselebuka na mavazi rasmi ya Jamhuri
Kosa la pili: bidada ni make wa mtu, angalia kavaa pete ya ndoa
Mshana Jr.

Mi sioni kama ni big deal kivile! Kosa la kwanza, ni muhimu kujua sheria zilizopo au kanuni za jeshi zinasemaje. Wengi hapa hatujui tunarush tu kucomment na kuwajudge hawa binadamu wenzetu. Ukiangalia picha utaona kuwa wametafuta sehemu ambayo ni faragha kabisa, its not like wanafanyia kando ya barabara ambapo kila mtu anawaona. What if walikua kwenye lunch brake yao? Sheria inakataza watu kupigana mabusu? Think of wapenzi wawili wanaofanya kazi bank au vodacom, hawawezi kufanya hivi wakiwa kwenye brake yao ya lunch? Ni wazi kuwa mpiga picha aliwapiga hii picha kwa kuibia which is a breach of their privacy.

Kosa la pili, unaonekana unahakika kuwa hawa sio mtu na mume just by looking at this picture. What if they are? Jamani vitu vya kawaida sana, we should get used to kissing in public. Kama wangekutwa wamevuana nguo wanapeana mambo labda ningeelewa what all this fuss is about..
 
Acha wajiburudishe tu maporini kama swala maana kazi ya kuvizia na mitochi yao si mchezo,kiuno chaweza pinda wanyooshane tu
 
Hii picha inaonekana ni ya igizo (it is staged/acted), wameficha kabisa namba zao ya upolisi, hata sura zao hazionekani vizuri!
Udadisi naamini umesoma magazeti ya Leo, nafikiri utabadili msimamo sasa
 
Last edited by a moderator:
Mi sioni kama ni big deal kivile! Kosa la kwanza, ni muhimu kujua sheria zilizopo au kanuni za jeshi zinasemaje. Wengi hapa hatujui tunarush tu kucomment na kuwajudge hawa binadamu wenzetu. Ukiangalia picha utaona kuwa wametafuta sehemu ambayo ni faragha kabisa, its not like wanafanyia kando ya barabara ambapo kila mtu anawaona. What if walikua kwenye lunch brake yao? Sheria inakataza watu kupigana mabusu? Think of wapenzi wawili wanaofanya kazi bank au vodacom, hawawezi kufanya hivi wakiwa kwenye brake yao ya lunch? Ni wazi kuwa mpiga picha aliwapiga hii picha kwa kuibia which is a breach of their privacy.

Kosa la pili, unaonekana unahakika kuwa hawa sio mtu na mume just by looking at this picture. What if they are? Jamani vitu vya kawaida sana, we should get used to kissing in public. Kama wangekutwa wamevuana nguo wanapeana mambo labda ningeelewa what all this fuss is about..

Umesoma magazeti ya Leo?
 
CHUAKACHARA naamini umetambua ukweli sasa kuwa haikuwa fotoshop

Kweli bwana naona (maafande) wameadabishwa/wamewajibishwa. Mshana hii ni tabu sana kwa familia. mtu amezoea kupata barabarani not less than 10,000-20,000 per day from rushwa leo anafukuzwa ghafla! Just imagine. If it were me ningeliwaonya tu!- I stand to be corrected. Kwani nani asiyefanya mapenzi, ila ni kwa staili gani. Walizidiwa na mihemko!
 
Back
Top Bottom