Usinicheke Mimi ni tajiri lakini siachi kuomba ng'o

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Hehehehe
Ujue Kikwete huwa anaulizwa Whats wrong with you country?
Kwasababu Mungu ametujaalia Lasilimali zenye utajiri mkubwa sana ambazo Nchi nyingi sana za ulaya zimeendelea kupitia Lasilimali hizi za Tanzania. Sasa Kinacho Shangaza Mwizi anaendelea lakini mwenye nacho anakwenda kumuomba mwizi wake Msaada.

Hehehehe Tuna ongozwa na Raisi wetu kwenda kujitangaza kuwa sisi ni Ombaomba wakati Rasilimali tunazo nyingi tu.

Yaani Mapato tu ya Mbuga za Wanyama, zinatosha sana kwa kuiendeleza Tanzania hii, Bado sijaongelea Tanzanite, sijaongelea Migodi mingine around Tanzania, Bado sijauongelea Mlima Kilimanjaro, kuna vivutio vingi sana huko Kilombero, hadi Chemchem ya Ajabu ipo kule.

Lakini nini kinatufanya tuwe Ombaomba? Jibu unalo sasa tufanyeje? na kwanini hatufanya sasa?
Kweli Mimi ni Tanzania Tajiri lakini ombaomba
 
Chamoto wewe wasema, Ujue hii inatia Hasira sana hasa kwa sisi tunao tembea nchi za nje.... inatuuma sana
 
Kaka Maneno haya Hutamkwa na kikwete anapo endaga Kuomba njeee[Hapa Kazi ipo ][/HTML]
 
Hehehehe
Ujue Kikwete huwa anaulizwa Whats wrong with you country?
Kwasababu Mungu ametujaalia Lasilimali zenye utajiri mkubwa sana ambazo Nchi nyingi sana za ulaya zimeendelea kupitia Lasilimali hizi za Tanzania. Sasa Kinacho Shangaza Mwizi anaendelea lakini mwenye nacho anakwenda kumuomba mwizi wake Msaada.

Hehehehe Tuna ongozwa na Raisi wetu kwenda kujitangaza kuwa sisi ni Ombaomba wakati Rasilimali tunazo nyingi tu.

Yaani Mapato tu ya Mbuga za Wanyama, zinatosha sana kwa kuiendeleza Tanzania hii, Bado sijaongelea Tanzanite, sijaongelea Migodi mingine around Tanzania, Bado sijauongelea Mlima Kilimanjaro, kuna vivutio vingi sana huko Kilombero, hadi Chemchem ya Ajabu ipo kule.

Lakini nini kinatufanya tuwe Ombaomba? Jibu unalo sasa tufanyeje? na kwanini hatufanya sasa?
Kweli Mimi ni Tanzania Tajiri lakini ombaomba
Uandishi na matumizi ya lugha husaidia kuvutia wasomaji.
 
Hehehhe Anfaal Kumbe upo kwenye JF unasubiri kuvutiwa na uandishi hehehe
Mimi najivua Gamba sina muda wa kumvutia mtu
 
Hehehehe
Ujue Kikwete huwa anaulizwa Whats wrong with you country?
Kwasababu Mungu ametujaalia Lasilimali zenye utajiri mkubwa sana ambazo Nchi nyingi sana za ulaya zimeendelea kupitia Lasilimali hizi za Tanzania. Sasa Kinacho Shangaza Mwizi anaendelea lakini mwenye nacho anakwenda kumuomba mwizi wake Msaada.
Hehehehe Tuna ongozwa na Raisi wetu kwenda kujitangaza kuwa sisi ni Ombaomba wakati Rasilimali tunazo nyingi tu.
Yaani Mapato tu ya Mbuga za Wanyama, zinatosha sana kwa kuiendeleza Tanzania hii, Bado sijaongelea Tanzanite, sijaongelea Migodi mingine around Tanzania, Bado sijauongelea Mlima Kilimanjaro, kuna vivutio vingi sana huko Kilombero, hadi Chemchem ya Ajabu ipo kule.

Lakini nini kinatufanya tuwe Ombaomba? Jibu unalo sasa tufanyeje? na kwanini hatufanya sasa?
Kweli Mimi ni Tanzania Tajiri lakini ombaomba

Kwa hayo maandishi mekundu tafadhali naomba nisikie majibu yako....
 
Asha D.
Majibu yake ni....
1. Sisi ttumekuwa Omba omba Kwasababu ya upuuzi na ujinga wetu.. kwasababu KIKWETE aliomba kazi kwetu, tuka muajiri kwa kura Zetu atufanyie kazi kama Backtatu wetu, Cha kushangaza anaboronga hatumuachishi kazi na kumpa mwingine ambaye atafanya vizuri zaidi.
2. Wananchi tunanafasi nzuri sana ya kuibadilisha nchi yetu, Mfano mzuri ni TARIMe kama hawamtaki mtu huandamana na ukileta utata wanakichinja, kwa aina hii ya life mi naisuport ailimia 99% coz viongozi watakuwa makini kwa kufanya kule walicho tumwa.
3. Kitu ninachoshangaa ni woga tulio nao Tanzania coz tunaona kila kitu kinachofanyika na chanzo chake tunakiona, lakini hatutaki tukisuluhisha,. Tegeta watu waliamua kuchukua sheria mkononi kwasababu ya uvamizi wa wenye fedha na Mafizadi na mazanduki wakubwa tanzania kuwanyang'anya watu ardhi yao. kilicho tokea nadhani watu wanakijua.
4. Tanzania inavivution vingi sana na Madini, Wamewakabidhi watu wasio Watanzania, Ila watanzania wakienda wanawauwa kwa bunduki za Watanzania wenzao, na wengine kuwapiga virungu, Raisi anachekelea (Mgodini NothMara) Hivi Kwanini Watanzania TUSIANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA UNYANYASAJI WA AINA HII?
mAANA KWA KUFANYA HIVI |MATAIFA YA NJE NA UMOJA WA MATAIFA WATAJUA TUNACHOFANYIWA LABDA WATATUSAIDIA.
 
Back
Top Bottom