usingizi wa alcohol!

mzawahalisi

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
752
237
mausinhizi ambayo yanasababishwa na alcohol nimabaya, yaan alcohol ikikata tu, na usingizi kwao. Tangu saa kumi nimebakii narandaranda tu kwenye forums humu JF na hauna dalili za kurudi hata niufurahie wa asubui!

Sitaki tena pombee oooo haiyoo, sitaki nakataa. Oooh haiyoo...*2.
 
mzawahalisi umeamka au ndio usingizi umekutembelea?

ha ha ha ha ha. walevi bana
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa bure next time lala na activator ya wine ya kiroba inaitwa burudani! Ukipanda kitandani weka kiroba chako chini ya mto ikigonga tisa kamili Usiku ni lazima ucngiz utakata tena unakata mazima, peleka mkono wako chini ya mto toa kiroba chako cha burudani kinyonye chote bila kupumzika rudisha bichwa kwenye mto fumba macho pata uhondo
 
We Amu asprin katoka wapi hapa?,
Vivian kufika saa kuminambili narobo nckujua kilichotokea kidogo nichelewe kazini nimeshtuka saa Moja na simu tupa kule! haya mavitu inafaa nipige siku kama ya leo hata ikipitiza kesho haina mbaya.

Ha ha ha Mshana Jr ushauri wako mzuri, tena siku hizi nimeona viroba vya Amarula vinaitwa Zanz sijui Zenji nadhani itabidi niweke stock Chumbani.
 
Mkuu umenifaa sana hicho kiroba cha amarura nilimuona jamaa anakinyonya mitaa ya gongo la mboto ila nikaona noma kumuuliza, yaani sasa ivi fasta naenda kukitafuta ,hv kinauzwaje?
 
sijajua vinauzwaje, ila ni vizuri kwa yale maclub yanayo tuuzia vinywaji mara nne ya bei. Ukiviweka mfukoni hata watumie mashine gani hawavikamati, ukizama unaomba Ice kwenye glass unajifanya mkemia saaafi. Huku unakula burudanii mshana jr
 
Last edited by a moderator:
sijajua vinauzwaje, ila ni vizuri kwa yale maclub yanayo tuuzia vinywaji mara nne ya bei. Ukiviweka mfukoni hata watumie mashine gani hawavikamati, ukizama unaomba Ice kwenye glass unajifanya mkemia saaafi. Huku unakula burudanii mshana jr
mzawahalisi we mzoefu aisee
 
Last edited by a moderator:
^^
Chezea pombe wewe unaweza piga mtama mti.
Au unalala mtaroni ukiulizwa mbona umelala hapa? unasema nilikuwa napiga pushup
^^
 
^^
Chezea pombe wewe unaweza piga mtama mti.
Au unalala mtaroni ukiulizwa mbona umelala hapa? unasema nilikuwa napiga pushup
^^
Kuna jamaa aliwahi kulala kwenye Miiba,ile anashtuka Dogi linamlamba matapishi yake.Jamaa akalalamika.Mbona hii Gesti niliyolala ina Kunguni hivi..??Na huyu mpenzi anayenikiss ni yupi..??
 
Back
Top Bottom