Usingizi unavyoleta aibu

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,455
Jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi ya kondakta ndani ya daladala ziendazo pwani alipata aibu ya aina yake
pale alipokuwa ameuchapa usingizi wakati alipokuwa kazini mambo yalikuwa hivi:-

abiria: nirudishie chenji yangu bhana nimefika mlandizi nataka kushuka, pasipo kutambua kuwa kondakta alikuwa amelala
fofofooooooooo huku akiegemea katika mlango mara hoo akashutuka na kuanza kusema

Kondakta: mmhm niache bana mm naona njaa kali wewe si unipe huo ugali alikuwa anaota ndoto mchana kweupe peee
mawazo yake alidhani yuko home kumbe ndani ya daladala jamani

abiria wote waliangua kicheko na ndipo alishtuka na kutema udenda mwaaaaaaaaaaa jamani abiria wote wakawa hoi kwa kicheko kwani kilikuwa kituko cha aina yake jamani haaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom