Usingizi mnono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usingizi mnono

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Sep 4, 2009.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tunakuletea bidhaa nyingine sokoni karibu tutembelee katika karakana yetu Sinza palestina au wasiliana nasi kwa namba 0713876210 au email;akamanyusi@yahoo.co.uk,Usingizi huu ni kwa Tsh 500,000 tu.
   

  Attached Files:

  • bed.jpg
   bed.jpg
   File size:
   32.8 KB
   Views:
   45
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mkuu hayo mafanicha siyo ya kitoto, hizo bei zako zinainclude la lispringmatress? teh teh. mnaagiza au mnachonga za asili? isije kuwa vinatoka dubai! na mm nataka walalie mpaka wajukuu. nikikutumia pesa utanisafirishia mpaka wilaya ya namtumbo?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Nimependa products zenu. vp mikoani huku mna maduka, au mnamsafirishia mteja?
   
Loading...