Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Mi najua usingizi ni njia ya kupumzisha ubongo ili uweze kutunz kumbukumbu ya vitu alivyovifanya mtu kwa masaa kadhaa yaliyopita.

Kuna magazine nilisoma last wiki ilielezea kuhusu faida za usingizi. I think ni Time magazine au the Economist. Wanasema mtu aliyelala ana uwezo mkubwa zaidi wa kukumbuka vitu vya juzi kuliko yule aliyekesha tangu juzi.
 
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya usingizi au nini hutokea wakati MTU akiwa usingizini.maana halisi ya usingizi ni kukatika kwa mawasiliano kwa mda kati ya nafsi na mwili.mwanadamu ni Roho yenye nafsi inayokaa ndani ya mwili. Hivyo, mwanadamu amegawanyika sehemu tatu MWILI ROHO NA NAFSI.

Mwanadamu anapokuwa usingizini mawasiliano kati ya nafsi na mwili yanakuwa yamekatika kwa mda ili kurusu mwili kupumzika kwa mda. Roho huwa haipumzika Bali mwili hupumzika.

Mwanadamu ameumbwa na fahamu mbili ufahamu mkubwa unaotawala matendo yasiyo ya hiali(subconscious mind na ufahamu mdogo yaani conscious mind inahusika na matendo ya hiari.

Sasa, NAFSI ya mwanadamu ambako ndio kuna HISIA NIA UTASHI AKILI MAAMUZI ambako huendeshwa na conscious mind hupokea taarifa kutoka super conscious mind kwamba sasa ni mda wa kulala ndipo hutoa taarifa kwa conscious mind ndipo huanza kukata masiliano taratibu kupitia kuzimika kwa milango ya fahamu hadi kulala usingizi ambapo ndipo MTU hajitambui kabisa.

HAPO NDIPO SUBCONSCIOUS MIND HUFANYA KAZI KWA UFANISI ZAIDI Kwa kutawala matendo mbalimbali kama msukumo wa damu.ndoto .nk.

Je wewe unafahamu nini kuhusu usingizi?

Karibu
 
Asante mkuu kwa somo lako zuri sikuwa nikijua hilo mwanzoni tena naona super conscious kashatoa taarifa
 
Kwann mtu anapolala hufumba macho kuna uhusiano gani kati ya usingizi na macho..?
 
Watu wengi wanapopiga Miayo inaashiria kuwa wana usingizi,kuna uhusiano gani kati ya kupiga miayo na usingizi?
 
Habari wandugu wana jf..?
Kama tujuavyo Jicho ni moja kati ya milango mitano ya fahamu nachotaka kujua kuna uhusiano gani kati ya usingizi na macho.
Kwanini mtu akilala hufumba macho..?
Jf doctors natumai ntapata jibu...

KARIBUNI
 
Habarini za asubuhi wana jamvi.

Nimeamka asubuhi ya leo mapema tu, sasa wakati nashughulika na mambo flani best yangu akaniambia " leo nimelala usingizi mzito kweli". Nikamuuliza kilo ngap? Akakodoa macho tu bila jibu. Akaruka hio na kubadili akasema bas nimelala usingizi mnene, nikamuuliza unene wake ni zaidi ya mbuyu??
Naona jamaa katoa macho tena imebidi nimuache nije kuuliza huku.

Usingizi nini na unapimwaje nini kinanifanya nilale??

Karbuni.
 
Back
Top Bottom