Usimwamini mwanamke, narudia. Don't trust any woman, they are like kids

Ni kama watoto, kuna mmoja amezalishwa ametelekezwa, nimemkuta na hali mbaya nimemfadhili kidogo, katafuta mwanamme mwingine, bahati nzuri nimegundua nimesimamisha ufadhili ana haha turudiane.
 
Mzee wako ameshajenga nyumba??
Hivi unajua huyo unaye mtukana ni umri sawa na baba yako

Ulisema baba yako anachepuka na vibint vidogo mbona hukumtukana??

Bora huyu anachepuka na mke wa mtu vp mzee wako??
Anatomba vitoto vyake
Comrade umenisaidia kujibu
 
JF bwana kila anayetembea na mke watu basi alitongozwa ,mara so beautiful,umbo namba 8,kiuno nyigu...yaani hakuna aliyetembea na mke wa mtu akakosa kutoa hizo sifa.

#ONYO

Unaweka rehani marinda yako kwa tamaa za kibwege
zingine chai mkuu
 
Back
Top Bottom