Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Mimi nilimchunguza wasap na nikagundua kila kitu na akapigiwa simu akajiandaa mi nipo kitandani akanambia anaenda bank akajiandaa akaondoka zake. Akiwa njiani alituma bonge la sms kuwa NIKOME KABISA KUSHIKA SIMU YAKE NA KUMUHARIBIA UHUSIANO WAKE NA WATU WA KARIBU iliniuma sanaaa sikujibu lolote. Nilikuja kuona kajiengua mwenyewe tu
Hiyo sms imeniuma hadi mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom