Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako,
Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yani unamsaidia jambo kwa wema then yeye anatengeneza feelings za kimapenzi,

Better to be hard and kauzu.
Now i learn the hard way what makaveli said " it is better to be feared that to be loved"
 
Umeanza kujitambua Hongera .

Wenzio bado wanategwa na kunaswa kirahisi na kuibiwa fedha zao.

Wengine wametegeshwa mimba na kutia doa familia na wengine ndoa zao kuvunjika na kubaki historia .
Hapo umegusa mfupa! Wanategwa na kuibiwa fedha zao kivipi mkuu?
 
Nadhan n dhana iliyojengeka kwa wanawake wengi kuwa mwanaume anapomhitaj mwanamke, huanza kwa ku care na ku offer vitu mbalimbal, thats why huishia kutengeneza mazingira ya kukutunuku zigo kama fadhila ya wema ulomfanyia.
 
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako.

Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye anatengeneza feelings za kimapenzi.

Better to be hard and kauzu. Now i learn the hard way what makaveli said " it is better to be feared that to be loved"
Ona hizi hasira za kuishiwa nguvu za kiume. Hivi hujasikia kuna vumbi la Kongo na Al Kasusi?
 
Back
Top Bottom