Usimdharau usiyemjua; naanza kukuheshimu DC Jokate Mwegelo

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kwanza naanza kwa ku declare interest kwamba hizi teuzi za kufanya kwa vetting za ajabu zinaumiza taifa,

Kwanza alipochaguliwa Jokate nilishtuka, nkaona kama kumekuwepo kukurupuka katika nafasi hio,

Maana jokate kashindwa kazi ya CCM ameikwaa ya Ukuu wa wilaya?

Tunajua ukuu wa wilaya ni political post, lakin inabidi uwe na sifa ambazo zinakufanya angalau uipate nafasi hiyo,

Niliumia kuona vijana chipukizi wenye weledi mkubwa kama Magoiga Sn,Dickson Daniel, Asenga Abubakari, kina Jerry slaa wanaachwa wanakuja kuchukuliwa warembo,

Niliumia mno kwa mambo haya, lakin nkasema usimbeze mtu mfuatilie kwanza,

Nikaja kugundua kupitia dakika tano tu za alichoongea na kueleza kwamba huyu ana kitu hidden ama ni alikuwa ana aibu kuongoza au hakupata fursa, ama

Nikapata kuangalia video hii nimegundua
1. Anajiamini
2. Ana uwezo wa kudanganya umma kwendana na mkuu wake
3. Habari za media anaziweza kuziteka

Maana ndo kazi ya upolitical posts

Najua we umeona mabaya tu ,tueleze.moja tu ulilokubali kwake
 
tenor(2).gif
 
Unakua na wivu kama nyumba ndogo. Kwahiyo ulitaka uteuliwe wewe? Wewe ndio ulimpa kazi ya CCM? Acha nyege za kichangudoa wewe, kama ulizaliwa bar vile. Kha! Kwani lazima wote wateuliwe Kisarawe? Unajificha katika hoja mtu Kimberly wivu tu we Malaya.
 
Tatizo liko wapi mkuu? Umesoma ukaelewa?
 
nawasikitikia sana hao maafande, sometimes hapa bongo wafunga buti hawanatofauti sana na wanafunzi zaidi ya kulipwa mshahara
 
Unakua na wivu kama nyumba ndogo. Kwahiyo ulitaka uteuliwe wewe? Wewe ndio ulimpa kazi ya CCM? Acha nyege za kichangudoa wewe, kama ulizaliwa bar vile. Kha! Kwani lazima wote wateuliwe Kisarawe? Unajificha katika hoja mtu Kimberly wivu tu we Malaya.

Ww ndio jokate mwenyewe nini? Sio kwa povu hili?
 
Hiyo operesheni uchwara ya kufukuza ng’ombe kwenye pori ndio imekuaminisha kwamba jojo anauwezo?!
 
Unakua na wivu kama nyumba ndogo. Kwahiyo ulitaka uteuliwe wewe? Wewe ndio ulimpa kazi ya CCM? Acha nyege za kichangudoa wewe, kama ulizaliwa bar vile. Kha! Kwani lazima wote wateuliwe Kisarawe? Unajificha katika hoja mtu Kimberly wivu tu we Malaya.
We utakua ni kimada
 
Back
Top Bottom