Usimamizi Mzuri wa Madini, Jiwe Kubwa La Madini Lapatikana Tena

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
Ni jiwe la Madini ya aina ya Spinel

Kwa mujbu wa Waziri wa Madini Mhesh Dotto Biteko jiwe hilo lenye thamani kubwa Sana limepatika kwa Wachimbaji wa madini Mahenge
FB_IMG_16010917953388315.jpg
FB_IMG_16010917995622050.jpg
 
Hizi rasilimali za taifa hili sijui lini nitakula matunda yake.

Watanzania tupo kama million 50 hivi, hivi tungepewa mgao wa billion mbili na wale wenye ku samehe wasamehe ili tuanze kupambana vizuri Ingekuwa bora zaid
 
Serikali ya jiwe isitufanye na sisi tuoneka ni Mawe.
Kwa sababu haiwezekanu toka enzi za ukoloni hayajawahi kupatikana madini makubwa kama hayo.
tena kwa mfululizo nikipiga hesabu mwaka huu halafu tena ndani ya miezi mitatu serikali inasema imepata mawe yenye usawa wa vipande vya tofali karibia vitano.
halafu kipindi cha uchaguzi.
Hivi kama sio usanii ni nini.
 
Yalikuwa yanapatikana vizuri tu ila udhibiti haukuwepo km sasa hivi
 
Back
Top Bottom