Usilolijua kuhusu Apple Music

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,041
Leo nataka tushare kidogo kuhusu apple music, kama tunavojua nje na kuproduce simu, Pc, watches, tv etc apple pia wana app ya music digital streaming services . Apple Music launched june30,2015 mpaka sasa wana miaka5 tu kwenye industry lakini ndo digital platform music ambayo inakua kwa spidi wajuzi wa mambo wanasema apple music ndan ya miaka2 itakua biggest music streaming in the word kwa sasa anaeshikilia no1 ni spotify.

Apple music mpaka sasa imeshaenea zaid ya nchi 168 duniani ambapo mwaka huu kuna additional ya nchi 52 ikiwemo Tanzania. Mimi mojawapo natumia apple music.

Apple music ina jumla ya paid subscribers 68million hii ni watumiaji ambao wanalipia huduma kila mwezi, spotify ana ongoza akiwa na 138 subscribers.

Apple walianza kujibrand kwa kuingia deal na baadhi ya wasanii wakubwa kama drake, taylor swift nk lengo ilikua ni kuwin market kutokana na compettion ilokwepo hasa kwa zile platform zilizokwepo muda mrefu kwenye market kama deezer, amazon, pandora, Spotify, tidal nk. Walijua kabisa kwa njia hii wataweza win market.

Target yao ilianza zaa matunda kwani drake aliweza anzisha radio kama OVO sound radio ambapo alikuwa akitumia kutoa taarifa za ujio wa ngoma zake na albums. Kutokana na drake kuwa na fans wengi na kuwa na ushawishi mkubwa hasa kwenye music industry ya Us na word wide hii ilipelekea watu kutumia apple music japo wengi walikua wakilaumu lakin kutokana na kazi zke kuwa kali watu walijikuta direct wana tumia apple music.

Drake alitoa hit song hotline bling july 2015 na ilikua ikipatikana apple music tu, later 2016 drake aliachia album yake ya VIEWS na ilikua ikipatikana apple music tu ila after week ndo ilikua ikipata platforms zingine. Hii ilipelekea alot of fans wake kuanza tumia apple music kwa ajil ake, wasanii wengine ni taylor swift waloingia deal na apple na kazi zao Zilikua zikipatikan apple music tu. Taylor swift ngoma zake zilirud spotify 2017.

Apple music ilianza kukua kwa kasi US mpaka 2019 apple ilikua ndo platform yenye paid subscribers wengi zaid ya 33m kwa Us pekee then applE music ilianza kukua kwa kasi UK na kuanza sambaa nchi nyingine za europe nk later ikaanza fika africa kama nigeria, south africa mpaka sasa Tz imetufikia.

Apple music wanatoa streaming service kama music mp3, video, live radio, podcasts etc. Mpaka sasa platform ina nyimbo zaidi ya 70million. Apple music inawalipa wasanii kutokana na streams ambapo stream1 = $0.00437.

Apple wanatoa free offer ya 6months kwa new subscribers then utalipa 6900 kila mwezi kwa Tanzania, ambapo utaweza stream song yyte utakayo na kuidownload kwa ajili ya kusikiliza offline.

Apple music app inapatikana kwenye iphones, ipads, macbook, apple watch pamoja na android.
Apple inc. wanataka kukamata soko kila angle
 
Nishazoea deezer $4.99/month..nacreate playlist zangu za ngoma kali kinoma huku nikienjoy audio with good quality maana na stream via Wifi
 
Leo nataka tushare kidogo kuhusu apple music, kama tunavojua nje na kuproduce simu, Pc, watches, tv etc apple pia wana app ya music digital streaming services . Apple Music launched june30,2015 mpaka sasa wana miaka5 tu kwenye industry lakini ndo digital platform music ambayo inakua kwa spidi wajuzi wa mambo wanasema apple music ndan ya miaka2 itakua biggest music streaming in the word kwa sasa anaeshikilia no1 ni spotify.

Apple music mpaka sasa imeshaenea zaid ya nchi 168 duniani ambapo mwaka huu kuna additional ya nchi 52 ikiwemo Tanzania. Mimi mojawapo natumia apple music.

Apple music ina jumla ya paid subscribers 68million hii ni watumiaji ambao wanalipia huduma kila mwezi, spotify ana ongoza akiwa na 138 subscribers.

Apple walianza kujibrand kwa kuingia deal na baadhi ya wasanii wakubwa kama drake, taylor swift nk lengo ilikua ni kuwin market kutokana na compettion ilokwepo hasa kwa zile platform zilizokwepo muda mrefu kwenye market kama deezer, amazon, pandora, Spotify, tidal nk. Walijua kabisa kwa njia hii wataweza win market.

Target yao ilianza zaa matunda kwani drake aliweza anzisha radio kama OVO sound radio ambapo alikuwa akitumia kutoa taarifa za ujio wa ngoma zake na albums. Kutokana na drake kuwa na fans wengi na kuwa na ushawishi mkubwa hasa kwenye music industry ya Us na word wide hii ilipelekea watu kutumia apple music japo wengi walikua wakilaumu lakin kutokana na kazi zke kuwa kali watu walijikuta direct wana tumia apple music. Drake alitoa hit song hotline bling july 2015 na ilikua ikipatikana apple music tu, later 2016 drake aliachia album yake ya VIEWS na ilikua ikipatikana apple music tu ila after week ndo ilikua ikipata platforms zingine. Hii ilipelekea alot of fans wake kuanza tumia apple music kwa ajil ake, wasanii wengine ni taylor swift waloingia deal na apple na kazi zao Zilikua zikipatikan apple music tu. Taylor swift ngoma zake zilirud spotify 2017.

Apple music ilianza kukua kwa kasi US mpaka 2019 apple ilikua ndo platform yenye paid subscribers wengi zaid ya 33m kwa Us pekee then applE music ilianza kukua kwa kasi UK na kuanza sambaa nchi nyingine za europe nk later ikaanza fika africa kama nigeria, south africa mpaka sasa Tz imetufikia.

Apple music wanatoa streaming service kama music mp3, video, live radio, podcasts etc. Mpaka sasa platform ina nyimbo zaidi ya 70million. Apple music inawalipa wasanii kutokana na streams ambapo stream1 = $0.00437.
Apple wanatoa free offer ya 6months kwa new subscribers then utalipa 6900 kila mwezi kwa Tanzania, ambapo utaweza stream song yyte utakayo na kuidownload kwa ajili ya kusikiliza offline.
Apple music app inapatikana kwenye iphones, ipads, macbook, applE watch pamoja na android.
Apple inc. wanataka kukamata soko kila angle
We bwana ungeandika tu kwa lugha moja...kuliko kuchanganya changanya...hebu jiulize ulichokiandika Kama kingekua kimeandikwa na mzungu wangeweka haya maneno yakiswahili ndani yake...!!!Imekua nikama story unasimuliwa na pisi inayojiona majuuuu uzungu mwingi!
 
Shida nn? Umenisaidia kuandika?
 
Back
Top Bottom