mangia22
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 447
- 185
anaitwa Asikofu au kimombo Bishop Josephat Gwajima kanisa lake linaitwa Ufufuo na uzima..na naskia limeenea nchi nzima!. kuna vyama vya siasa ambavyo havijaenea nchi nzima na pia kawaida kikundi cha dini kinakuwaga mtaa au sehemu moja!. manake ni zaid ya chama cha siasa na ni zaid ya kikundi cha dini. nimeona nimjibie tu wla mi cjawah wala ctaraj kwenda kanisani kwake.Huyu ni askofu kweli? Kanisa lake ni chama cha siasa au kikundi cha dini?