Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kanitumia ujumbe huu kwenye simu jana:
"Kila usiku saa 6:30 to 9:30 miale ya COSMO itaingia duniani kutoka sayari ya mars. Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni BBC NEWS tafadhari wape taarifa na wengine. Yaweza kuwa kweli au si kweli la mhimu tusidharau".
Leo asubuhi naikuta hapa, basi tuchukuwe tahadhari
Mkuu, BBC NEWS taarifa ya lini?..na je, "saa 6:30 to 9:30 usiku" ya nchi gani?
my first link shows how phone affects sleep, ya pili the brain talks about more-or-less the same. your 1st link doesn't show any connection btn phones na health hazards except sleep which is temporary. the 2nd inaongelea phone addiction which is annoying but not dangerous, hautakuwa 'teja' wa blackberry lol au kuna kitu nime-missHealth Risks and Dangers of Cell Phone Radiation | Mobile Phone Radiation
Don't sleep with your smart phone nearby - CNN.com
Mkuu Blaine, nadhani kuna tofauti KUBWA kati ya kutumia simu kwa masaa mengi na kuongea na simu kwa vipindi vya siku(usiku/mchana)..link nyingi ikiwepo na hizo hapo juu zinaonyesha study zilizofanya kati ya watumiaji wa simu muda kwa masaa mengi na si kwa vipindi vya siku(mchana/au usiku). And that's where my earlier question lies?