Usilalamikie kodi kwa Luku, imekuwepo kwa muda mrefu na tumekuwa tukiilipa kila mwaka

Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa maana kuna watu wengi sana wanakwepa kulipia kodi hii ya majengo

So kuilipa kwa kutumia Luku haina tofauti sana na namna ambavyo tulikuwa tunalipia zamani kwakuwa gharama ni ilele ila njia ya kulipia tu ndio imebadilishwa

Hii itaondoa usumbufu kwa serikali kuwafatilia wanaokwepa hii kodi pia itaondoa usumbufu wa kulipia cause hauna haja tena ya kwenda TRA na serikali itapata pesa nyingi zaidi kuna halmashauri nyingi tu hasa za DC watu hawalipii kabisa kodi ya majengo yao.

Wasiokuwa na umeme kwenye nyumba zao waendelee kulipia kwa utaratibu wa zamani

Jeremiah Kipoya
hahahaha kwa hiyo kama zamani sio hahaha wewe utakuwa unakaa kwa shemeji.... mtu unaambiwa na tanesco ndugu mteja ili upate umeme unatakiwa kununua umeme wa zaidi ya 2000 ili kulipia kodi ya jengo kwa miezi miwili halafu wewe unasema ni sawa na zamani? hahaha wewe ni chizi
 
Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa maana kuna watu wengi sana wanakwepa kulipia kodi hii ya majengo

So kuilipa kwa kutumia Luku haina tofauti sana na namna ambavyo tulikuwa tunalipia zamani kwakuwa gharama ni ilele ila njia ya kulipia tu ndio imebadilishwa

Hii itaondoa usumbufu kwa serikali kuwafatilia wanaokwepa hii kodi pia itaondoa usumbufu wa kulipia cause hauna haja tena ya kwenda TRA na serikali itapata pesa nyingi zaidi kuna halmashauri nyingi tu hasa za DC watu hawalipii kabisa kodi ya majengo yao.

Wasiokuwa na umeme kwenye nyumba zao waendelee kulipia kwa utaratibu wa zamani

Jeremiah Kipoya
Pumbavu!
 
Kulikuwa na kodi ya kichwa enzi hizo...soma historia

Bora CCM warudishe hiyo tujue moja...ili ukilipa then unajitoa mwaka mzima.

Zama za baada ya uhuru ilikuwepo KODI YA MAENDELEO nayo ilikuwa mshikemshike.
 
Back
Top Bottom