Usilalamike unaibiwa, jifunze kubana matumizi ya kifurusshi cha data kwenye computer yako

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,728
2,000
"Yani nimejiunga kifurushi cha gb 1 baada ya dakika 5 kimeisha, makampuni ya simu wezi"

Hizo ni baadhi ya kauli za watu wanaodhani wanaibiwa bila kujua kwamba lawama zipo upande wao

Computer zetu hizi za windows zimetengenezwa katika namna ya kwamba endapo kutakuwa kuna updates basi zitaji update kwa kutumia data.

Ili kuzima hizo updates ambazo huwa zinatafuna vifurushi vyetu vyenye ukomo fanya haya

mfano hapa nilipo natumia wifi kupitia simu yangu kwa hotspot.

1. sechi "wifi" kama kwenye picha

1606047079324.png


2. naminya hapo kwenye wifi yangu nayotumia,

1606047283887.png


3. Ntawasha sehemu iliyoandikwa metred connection

1606047360293.png


Kazi imekamilika, Mb zako zhazitatafunwa kiholela

Endapo utatumia wifi nyingine au kubadili jina la wifi hostspot ya simu yako itabidi urudie hizi hatua
 

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
736
1,000
Mkuu ungeweka na maelezo ya kina zaidi ili kujazia nyama wengi hatujakupata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom