Usilalamike kaa chini buni mradi kisha chukua hatua songs mbele

Aug 9, 2018
95
293
Wakati wewe una kazi ya kulalamika maisha magumu kumbuka kuna mwenzako alishayaona kuwa ni magumu yeye hakulalamika aliamua kukaaa chini kubuni kajimradi cha laki moja sasa anapata hela ya kuganga njaaaa

Usilalamike kaa chini buni mradi kisha chukua hatua songa mbele
 
Back
Top Bottom