Sisi tunasema mwanaume Ni msimamizi wa mwanamkeSisi ni kichwa
Ndo maana wifi yako akileta khabari za kuwa na rafiki wa kiume nakuwa mbogo.Kuna mtu Aliniambiaga alikua narafiki yake wakike...walikua mabest Sana..Ila alikua anafikiria kumla mara nyingi Sana...
So urafiki wa jinsia tofauti...uwezekano wa Kufanya yenu upo kabisa....
Usiruhusu...na Wewe usiwe nao wakike...hata yeye hatopendaNdo maana wifi yako akileta khabari za kuwa na rafiki wa kiume nakuwa mbogo.
Ninafanya jitihada zote kuwaweka mbali...ninafanikiwa kwa kiasi fulaniUsiruhusu...na Wewe usiwe nao wakike...hata yeye hatopenda