Usikubali mpenzi wako awe karibu sana na 'best friend' wake wa jinsia tofauti

Mleta mada umefukua uozo niliotaka kusahau. Nilikuwa na kimbaumbau (demu) fulani natoka naye karibia miezi 5 hivi miaka ya nyuma, mwanzoni alikuwa anapenda sana kuendekeza ushoga, kila aongeapo na wenzake ni kuteta tu wenzao na hakuna cha maana walichokuwa wanazungumza zaidi ya kutetana tu. Nikampiga marufuku kuachana na ile tabia ya kijinga na pia kuachana na marafiki wasio na maendeleo kwake kwani ilikuwa kero yaani kila kukicha ni kutetena tu. Baada ya kukata urafik na marafiki zake kutokana na mimi kumsema basi akahamishia majeshi kwangu. Akawa ananipigia simu mimi nikiwa kazini kila muda na kusema niambie mbea mwenzangu. Nikawa namshangaa na kumuuliza nimekuwa mmbea tena kwako, anasema sina mtu wa kuongea naye wewe si umenikataza basi nataka nipige umbea na wewe ndiyo maana nakuita mbea mwenzangu. Wanawake kwa kweli mna vituko.
 
Kuna mtu Aliniambiaga alikua narafiki yake wakike...walikua mabest Sana..Ila alikua anafikiria kumla mara nyingi Sana...

So urafiki wa jinsia tofauti...uwezekano wa Kufanya yenu upo kabisa....
Ndo maana wifi yako akileta khabari za kuwa na rafiki wa kiume nakuwa mbogo.
 
Back
Top Bottom