screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,788
- 15,682
Leo ni usiku mzuri kwa mashabiki wa ndondi duniani, kwani tunatarajia kushuhudia mapambano mawili ya kuvutia ya Heavyweight, la kwanza ni kati ya vijana wamoto kutoka Uingereza Daniel Dubouis 'DDD' na Joe Joyce 'Juggernaut' ambao wote ni heavyweight prospects, hawajawahi kupigwa ila leo tunatarajia mmojawapo apoteze zero.
Pili tutashuhudia pambano la round 8 kati ya Legends wawili Mike Tyson na Roy Jones ambao wameamua kurudi kutupa burudani 'ya uzeeni'.
Pambano hilo litafanyikia Marekani mida ya asubuhi kwa masaa yetu.