Usiku wa manane, dua humfikia Mungu haraka. Nawatakia Simba ushindi

Kaizer Chiefs, piga hao mikia fc goli 3 kwa bila! Kwani Prisons wameweza wana nini, kiasi cha nyinyi kushindwa?
 
Ni usiku wa manane...

Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana.

Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi.

Eid hii haiwezi enda bure kwetu.

All the best mnyama...
Amen amen amen Mungu Baba fanyiza twakuomba,ushindi uwe kwetu safari hii,HADI tutwae kombe la Afrika.
 
Back
Top Bottom