Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniamsha dakika 4 baada ya Mwizi kuvunja dirisha nikiwa nimelala. Majira ya sa 10 na dakika 15 nimefumbua Macho gafla naona tochi inaangaza ukutani nikaongeza kufunua pazia aisee kile kishindo cha mbio mithili ya kuanguka jiwe la kila 100.
Nikaamka kucheki simu ipo kuwasha taa kucheki dirisha aisee Alisha kata waya tayari na kucheki kwa chini naona fimbo nahisi ilitumika kufunua pazia. Siku zote simu Hua siweki peupe kiasi hiki na Hua kila siku sa 9 to sa 11 alfajiri Hua nakua on hii ni kulingana nililala sa ngap...
Wakuu Toka muda wa sa 10 hadi saiv sijafikiria kulala tena.. Na Leo ni siku ya 21 Toka nihamie mji huu Japokua niliambiwa Kua Kua vibaka niwe makini na simu..
Naombeni ushauri njia sahihi ya kujikinga na simu yangu Maana huyu Mwizi wa Leo hawezi kata Tamaa atarudi tena tu mana Leo kaikosa kidogo Sana. Picha za Ushahidi hizi chini fimbo na dirisha limekatwa
Sent using Jamii Forums mobile app