Usiku wa Leo Mwizi mefanikiwa kuvunja dirisha ili achukue TECNO K 7 SPARK

Wenzio tulikaa mnyamala pale daladala Camp,nikwamba home ilikua ndio heardquarter ya vi baka.nikamkabidhi fungu mama mwenye nyumba.
Usiku naibiwa nampelekea mashtaka kesho napewa vitu vyangu.kesi polisi haifiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom