Usiku wa Leo Mwizi mefanikiwa kuvunja dirisha ili achukue TECNO K 7 SPARK

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniamsha dakika 4 baada ya Mwizi kuvunja dirisha nikiwa nimelala. Majira ya sa 10 na dakika 15 nimefumbua Macho gafla naona tochi inaangaza ukutani nikaongeza kufunua pazia aisee kile kishindo cha mbio mithili ya kuanguka jiwe la kila 100.

Nikaamka kucheki simu ipo kuwasha taa kucheki dirisha aisee Alisha kata waya tayari na kucheki kwa chini naona fimbo nahisi ilitumika kufunua pazia. Siku zote simu Hua siweki peupe kiasi hiki na Hua kila siku sa 9 to sa 11 alfajiri Hua nakua on hii ni kulingana nililala sa ngap...

Wakuu Toka muda wa sa 10 hadi saiv sijafikiria kulala tena.. Na Leo ni siku ya 21 Toka nihamie mji huu Japokua niliambiwa Kua Kua vibaka niwe makini na simu..

Naombeni ushauri njia sahihi ya kujikinga na simu yangu Maana huyu Mwizi wa Leo hawezi kata Tamaa atarudi tena tu mana Leo kaikosa kidogo Sana. Picha za Ushahidi hizi chini fimbo na dirisha limekatwaView attachment 1021870View attachment 1021871

Sent using Jamii Forums mobile app

Duhh!!! ila hao wezi wamikoani afadhali umenusulika hawa wa dar wasinge kukosa but!!kwahyo hakuna ata ukuta unaoizunguka hio nyumba!!! umepanga chumba kimoja??au kama ndio hama hapo katafute nyumba ya hadhi kidogo hayo mambo utayasikia tu kwa wengine!!! lasivyo kuna siku utakuja kishtuka asubuh chumba cheupe
 
Pole sana at least umewafukuza. Hapo ni Dar? Sehemu gani maana watu tumelizwa sana sehemu za Mbezi beach hasa madirisha ya sliding. Mwizi yeyote ni yule unayemfahamu na anayekufahamu nimegundua. Nimeibiwa sana ila mwizi wangu sasa kawa kama tondora.
Tondora ni nini?
 
Duh hatari sana mkuu
Duhh!!! ila hao wezi wamikoani afadhali umenusulika hawa wa dar wasinge kukosa but!!kwahyo hakuna ata ukuta unaoizunguka hio nyumba!!! umepanga chumba kimoja??au kama ndio hama hapo katafute nyumba ya hadhi kidogo hayo mambo utayasikia tu kwa wengine!!! lasivyo kuna siku utakuja kishtuka asubuh chumba cheupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa wakiiba simu si ndio njia nzuri ja kuwakamata baada ya kufanya tracking ya simu na kum'baini anayeitumia akikamatwa atataja wote
 
Pole sana at least umewafukuza. Hapo ni Dar? Sehemu gani maana watu tumelizwa sana sehemu za Mbezi beach hasa madirisha ya sliding. Mwizi yeyote ni yule unayemfahamu na anayekufahamu nimegundua. Nimeibiwa sana ila mwizi wangu sasa kawa kama tondora.
Na kigamboni. Nilihamaga Kigamboni kwa ajili ya huu upuuzi. Siku nimejisahau nikaweka simu zangu mbili kwenye chaji kushtuka wanataka kuvuta ya kwanza ikasalimika. Mimi na mambo ya vibaka tofauti kwanza nilivyo muoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom