Usiku wa Leo Mwizi mefanikiwa kuvunja dirisha ili achukue TECNO K 7 SPARK

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniamsha dakika 4 baada ya Mwizi kuvunja dirisha nikiwa nimelala. Majira ya sa 10 na dakika 15 nimefumbua Macho gafla naona tochi inaangaza ukutani nikaongeza kufunua pazia aisee kile kishindo cha mbio mithili ya kuanguka jiwe la kila 100.

Nikaamka kucheki simu ipo kuwasha taa kucheki dirisha aisee Alisha kata waya tayari na kucheki kwa chini naona fimbo nahisi ilitumika kufunua pazia. Siku zote simu Hua siweki peupe kiasi hiki na Hua kila siku sa 9 to sa 11 alfajiri Hua nakua on hii ni kulingana nililala sa ngap...

Wakuu Toka muda wa sa 10 hadi saiv sijafikiria kulala tena.. Na Leo ni siku ya 21 Toka nihamie mji huu Japokua niliambiwa Kua Kua vibaka niwe makini na simu..

Naombeni ushauri njia sahihi ya kujikinga na simu yangu Maana huyu Mwizi wa Leo hawezi kata Tamaa atarudi tena tu mana Leo kaikosa kidogo Sana. Picha za Ushahidi hizi chini fimbo na dirisha limekatwa
1550112328883.jpeg
1550112391838.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Mbwa ndio mlinzi mtiifu na mwaminifu.. Fuga mbwa mmoja Dume mvutishe bangi, au nenda polisi kikosi cha mbwa na farasi nanunua mbegu dume.
Vibaka wote wataipita nyumba yako kwa heshima kama wanavyopapita kwenye kikosi cha FFU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu kwa haraka haraka mbwa na hapa mimi mgeni tu boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,555
2,000
Pazia nimefungua ili uone tundu mkuu.. Hapo chini ni mkeka na fimbo ya Mwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana at least umewafukuza. Hapo ni Dar? Sehemu gani maana watu tumelizwa sana sehemu za Mbezi beach hasa madirisha ya sliding. Mwizi yeyote ni yule unayemfahamu na anayekufahamu nimegundua. Nimeibiwa sana ila mwizi wangu sasa kawa kama tondora.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom