Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani ya muziki wa LADY JAYDEE imewadia yaani itakuwa shangwe,vifijo na mayowe kusherekea na kumpongeza mwanadada huyu kwa kutimiza miaka 13 ndani ya game la bongo fleva,kwa kweli sio mchezo safari ilikuwa ndefu,wapambanaji walikuwa wengi,wengine waliishia njiani,lakini KOMANDO hakukata tamaa,ni miaka kumi na tatu ya mafanikio,pia atazindua album yake ya NOTHING BUT THE TRUTH,watanzania tujitokeze kwa wingi kumpa support dada yetu,mtanzania mwenzetu kwa juhudi na mafanikio aliyofikia hadi sasa,mimi binafsi nitakuwepo,nitaenda kutoa JOTO NA HASIRA,pia nataka nimjue YAHAYA,cant wait piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee,HILI JOTO HASIRAAAAAAAAA????,LETS GOOO PEOPLE.....