Usiku utakapokwisha Ndugai ataibuka shujaa wa nchi hii.

Lyaka Mlima Jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
358
521
Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na uhuni wa wakoloni enzi hizo.

Miaka ya 1940s vuguvugu la kudai uhuru lilipamba moto ambapo wazalendo mbalimbali waliumizwa na kutia vitanzi na serikali ya uovu ya kikoloni, baada ya uhuru tuliendelea kuishi katika ombwe la ukoloni tukiwa chini ya wakoloni weusi.

Watanzania walikosa mtu wa kuthubutu kusema ukweli hasa linapokuja suala la maslahi ya nchi kwa ujumla wake, kwa ufupi tu 2021 mwishoni nchi imempata mtu wa kuthubutu,JOB JUSTINE NDUGAI namtangaza kuwa shujaa wa taifa hili katika karne ya 21, kwangu Edward sokoine ni shujaa wa tanzania karne ya 20th.

Ndugai isikuhuzunishe mihemko na matusi ya vijana wa Uvccm kwa hakika watakukumbuka baada ya miaka 20 ijayo, hakikka umefungua mlango wa kuihoji serikali, faida haitoonekana leo kwa sababu bado kuna giza la kisiasa lakini usiku utakapokwisha Ndugai utakuwa shujaa..
Screenshot_20220106-065400_GBWhatsApp.jpg
 
Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na uhuni wa wakoloni enzi hizo.

Miaka ya 1940s vuguvugu la kudai uhuru lilipamba moto ambapo wazalendo mbalimbali waliumizwa na kutia vitanzi na serikali ya uovu ya kikoloni, baada ya uhuru tuliendelea kuishi katika ombwe la ukoloni tukiwa chini ya wakoloni weusi.

Watanzania walikosa mtu wa kuthubutu kusema ukweli hasa linapokuja suala la maslahi ya nchi kwa ujumla wake, kwa ufupi tu 2021 mwishoni nchi imempata mtu wa kuthubutu,JOB JUSTINE NDUGAI namtangaza kuwa shujaa wa taifa hili katika karne ya 21, kwangu Edward sokoine ni shujaa wa tanzania karne ya 20th.

Ndugai isikuhuzunishe mihemko na matusi ya vijana wa Uvccm kwa hakika watakukumbuka baada ya miaka 20 ijayo, hakikka umefungua mlango wa kuihoji serikali, faida haitoonekana leo kwa sababu bado kuna giza la kisiasa lakini usiku utakapokwisha Ndugai utakuwa shujaa..View attachment 2070385
Acheni porojo tureeteeni katiba mpya ya wanaanchi sii kung'ang'ania katiba iliyochezewa na kuongezewa kuwapa Kinga za kutuvurugua taifa walio wachache.
 
Huyo kiazi wako ndugai aliikosoa lini serikali ya magufuli .....

Ndugai anadharau Sana ,anamdharau mama yetu samia suruhu ....

Huyo kilaza Kama ni shujaa mbona hakukosoa wakati wa dikiteta magufuli ,mbona hakukosoa serikali kama yeye ni shujaaa ???

Pumbavu
 
Shujaa gani anayekubali Nchi inapoteza mamilioni kwa kuwalipa wabunge wasio na vyama?

Ndugai ni muhuni na opportunistic, hana uchungu na Nchi hii.

Ndugai hana hadhi ya kuitwa shujaa.
 
Usiku ukiisha, ikifika asubuhi tunamuingiza chumba chenye Giza, usiku ukianza tunamtoa nje
 
Back
Top Bottom