Usiku umefika

Mitungii mikasii kama ukitaka kuvinjari nasi basi mfukoni mwako uwe safiiiii!!
 
story gani unataka mkuu... mi ndo maktaba ya story! kila aina ipo hapa siasa, uchumi, historia, lugha, love, michezo, philosophers stories, bible, vita, israel & arab, Jews & control of the world, ujasiriamali na mbinu, masomo ya darasani, uchumi wa dunia n.k... we cjui unataka story gani kiongozi
 
Namchagulia ya love
 
asee, kuna wengine nawaaminia kwa kaz ya ulinz, Jawilat, umehamia huku ndugu yangu? njo nikupe dawa ya usingizi? vipi kale kaugonjwa kalipona?
 
Back
Top Bottom