Hahaa nina maringo gani mimi jamani mbona kuninyasanyasa?Usiku mwema Heaven Sent punguza maringo binti wa kinyakyusa
Huyaoni ila mimi nayaonaHahaa nina maringo gani mimi jamani mbona kuninyasanyasa?
Khaa umefungiwa na Sam au kaka yangu?Sikujifungia bali nimefungiwa best, karibu ila usije
Ahsante my wiiAsante wifi yangu, wacha mimi nikuwish asubuhi njema