Usiku mwema

Hawa viumbe wawili naomba nijibu kwa niaba yao tafadhali

Usiku mwema na kwako pia CONTROLA
usiku mwema Jael

nimekutafuta sana ni jana ndio

nimegundua wewe ni mama mafurushi

nimesakaranya sana ile ID ya zamani acha tu

muwe mnatoa taarifa mnapobadili ID jmn.
Arif usiku mwema Sakayo

wale watu wakutuongelesha kama wanatubembeleza

ili watuchote leo kwenye maombi nitawasogeza madhabahuni

nitawakanyagisha mafuta wote shenzi wale,wametuzoea sana imetosha.
 
Usiku mwema my friend...
I know siwezi kukusaidia zaidi ya ninavyofanya sasa...
I know you wish to stand on your feet but nguvu za kiuchumi zimekosekana...ndugu wanakudispoint...najua huwezi kuwa JF koz hata smart uliuza siku nyingi saaana usjar one day yes...

Usiku mwema rafiki
 
Back
Top Bottom