Usiku mwema wenye ndoa, makapera ubundi na ndoto njema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiku mwema wenye ndoa, makapera ubundi na ndoto njema!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rubi, Nov 17, 2011.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nilikula tano kwenye kiti, sasa ndo nashusha neti najua hamwishi kuchiti humu. Pamoja na yote kumbuka kusali na kumwomba Mungu adumishe amani Tanzania miaka 50 ijayo kwa watakobahatika kuiona. Bila amani kuchit mida hii ni aghalabu. Mbarikiwe usiku mwema.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  mie nimeoa ila kazi yangu ni ya ungelewe niko kwenye lindo mida hii. Nalog off
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehe kazi unayo,usiku mwema jamani nalogoff
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nawaonea donge wenzangu mmelala. Nalog off
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  na wewe si ulale. Au sura ya mkeo inakutisha? Lol
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hahaha hapana bi dada,niko kwenye lindo,nikilala wanaweza wakaiba. Nalog off
   
 7. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kumeshakucha sasa.
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Haswa tulijenge Taifa, tayari tuko kwenye vituo vyetu vya mihangaiko huku tukiibia kuperuzi humu, ukisikia kishindo cha bosi una-minimize ila angali usije haribu kazi.
   
Loading...