Usiku mwema wanajamii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiku mwema wanajamii...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 7, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuhabarishana kuhusu ubabe wa Bi Kiroboto Bungeni,Nyoka wa Mwanri,Matokeo ya Kidato cha Nne,Tetesi za kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri,Uchaguzi Mdogo kwa Marehemu Sumari na nyinginezo,niwatakie wanajamii wote usiku mwema. Nyinyi mnaifanya Tanzania isimame.Pamoja Wanajamii...:amen:
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  We lala bwana sisi kwetu vibaka hawafungi jicho kwa hiyo lazima twende nao sawa. Pamoja mwanajamii!
   
Loading...