usiku mwema;kumbuka kusali kumshukur mungu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
kwa dini unayoamini shukuru mungu kwa uhai aliokupa mpaka leo hii
unaenda kulala wengine wako akazini wanapigana na maisha
usiache kuomba unapoamka na unapoallaala hata ukiwa free kazini kumbuka
kumshukuru mungu yeye ni mwema anasikia maombi na hana ubaguzi
nakutaki maombi mema na usiku mwema
 
mpumbavu hudharau maonyo, bali mwenye hekima huyafurahia, maana yanaiponya nafsi na kuangamizwa
 
kwa dini unayoamini shukuru mungu kwa uhai aliokupa mpaka leo hii
unaenda kulala wengine wako akazini wanapigana na maisha
usiache kuomba unapoamka na unapoallaala hata ukiwa free kazini kumbuka
kumshukuru mungu yeye ni mwema anasikia maombi na hana ubaguzi
nakutaki maombi mema na usiku mwema

ni jukumu letu kumshukuru Mungu kwa kila jambo, pia tusisahau kutubu kwa yale yote tuyatendayo..yeye ni mwenye huruma na hutusamehe pale tunapokiri tumekosa....Mungu akubariki Capt Didy...usiku mwema wana JF
 
Kweli ni wajibu wa kila mwana na binti wa Mungu kushukuru kwa kila jambo, ikiwa ni jema ama ni baya. Shukrani ni sawa na kusema appreciate what God does to us. Mungu wetu siku zote anatuwazia mema na kule kusema ameridhia majaribu kutupata hakumaanishi kwamba ametuacha bali anatakakuithibitisha imani yetu kwake. Yak1:3 inasema, kujaribiwa kwa imani yenu kunaleta saburi na pia ktk Rim 5:3 inasema, dhiki kazi yake ni kuleta saburi. Pia yak1:4 inasema, saburi na iwe na kazi kamilifu. Sasa hii ndio njia pekee ya kuumba tabia. Nasi sote tunajua kwamba tabia sii kipawa bali ni maisha ya ushindi wa kujaribiwa imani yetu. Kila mwenye tabia njema ni mtu wa shukrani kwa Muumba wake, siku zote. USIKU MWEMA PIDY NA WANA JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom