Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
nawatakia jioni njema wote .. poleni na bahasha la JAH HERO
Na kwako pia! Usiote unasukuma gari la Jairo tafadhali; utatenguka mgongo kwa laana za EMT! Don't say u were not warned! LOL
nawatakia jioni njema wote .. poleni na bahasha la JAH HERO
Tanmo nimekuona pale kwenye kuimba .. unapalilia shavu aka ajira aka take away mwisho wa mweziAmka ukasukume gari huko,, oops kumbe wamemrudisha tena likizo!!
Tanmo nimekuona pale kwenye kuimba .. unapalilia shavu aka ajira aka take away mwisho wa mwezi
Sweet dreams ..
nakusoma mkuuningeliipata hii jana nafikiri ningelala usingizi mwororo haswa.............