Usiku mwema bhana

Na kwako pia! Usiote unasukuma gari la Jairo tafadhali; utatenguka mgongo kwa laana za EMT! Don't say u were not warned! LOL
 
poa, Jah Hiro aliyekuwa Hero amepigwa kibuti tena anasubiri tusahaulishwe atarejeshwa kama kawa
 
Back
Top Bottom