Kawa bingwa bossLiverpool kafanyaje mkuu.?
Hata angefungwa isingeweza kuzuia liver kuwa bingwaKweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena
Mkuu n ligi ya uingerexa tuIlikua fainali ya nini.?
(Sifuatilii mpira kabisa)
Naposti vp videoAmenyanyua Kwapa la English Premier League tokea lianzishwe rasmi Mwaka 1990 pale wana JamiiForums wengi tu mlikuwa bado katika Zipu.
Ww hufuatilii mpira alafu unauliza ili iweje?Ilikua fainali ya nini.?
(Sifuatilii mpira kabisa)
Liverpool alihitaji ashinde gemu moja tu kati ya saba zilizobaki hata kama mpira hautabiriki ilikuwa ngumu kwa liver hii kutoshinda hata mechi moja kati ya saba zilizobakiMpira wa Soka hautabiriki Ndugu na yakupasa Uuheshimu. Kuna Mtu alijua Liverpool FC ingekuwa Bingwa CL baada ya Kutanguliwa na AC Milan?
Aahh ukibofya haifunguki ??Hii inafunguliwaje Ndugu?
Kweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena