Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

Kweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena

Watakuwa wameshajutia Kosa lao na Leo wameamua Kutuomba Msamaha kwa aina ya Kipekee kabisa kwa Kumfunga Mpinzani na Mnoko Wetu.
 
Mpira wa Soka hautabiriki Ndugu na yakupasa Uuheshimu. Kuna Mtu alijua Liverpool FC ingekuwa Bingwa CL baada ya Kutanguliwa na AC Milan?
Liverpool alihitaji ashinde gemu moja tu kati ya saba zilizobaki hata kama mpira hautabiriki ilikuwa ngumu kwa liver hii kutoshinda hata mechi moja kati ya saba zilizobaki
 
Kweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena

Sio kuwanyima liver ubingwa, bali walimkosesha nafasi ya kutwaa taji la ligi kuu, moja kati ya wachezaji wawili wa kingereza ninao wakubali zaidi! STEVEN GERRARD , aise ule msumali wa demba ba niliumia km mimi ndio shabiki wa Liverpool vile. Lile tukio hata likioneshwa leo, najisikia vibaya.
 
Back
Top Bottom