USIKOSE: Tundu Lissu ndani ya BBC ya ukweli, HARD TALK

Strong man rule ndio tawala kandamizaji?

labda tuache kamusi itusaidie manake wewe mmakonde mimi mnyakyusa

strongman.JPG


example.JPG
 
MFANO waliotumia ni nini?

Mtu mwenye access ya hazina, yani mfuko mkuu wa serikali, kama vile akaunti yake binafsi

Hela tasilimu zinatolewa majukwaani au kwenye miradi nje na mipango ya bunge na haturuhusiwi kujua zinatoka wapi. Mfano, bilioni 6 zimekubaliwa kutolewa kwenda kutengeneza ndege ambazo kumbe zikihariba hazina warranty. Okay, fine, zimetoka wapi, fungu gani hizo hela? Nani anajua?????
 
Back
Top Bottom