Usikose TD Jumamosi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Habari zimenifikia kuwa hadithi yangu ya Tanga Usiku wa Manane imeanza kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima na itaendelea tena siku ya Jumamosi; usikose. Mwambie na jirani yako... Niko karibuni kupakua kisa kingine cha "kusisimua" baada ya miaka karibu mitatu ya mapumziko!!
 
hii lazima kiboko......asante MM nitahakikisha napata nakala yangu
 
MMK baada ya mashairi ya Pingu kwa kweli hii ntaisoma!!!! asante!!
 
Back
Top Bottom