Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Mwenyezi Mungu ni mkubwa
Mnachinja na kuchoma watu nan anataka dini ya hivyo?... kumbe kuna nchi bado zilikuwa na upumbavu kama huo? Dunia ya wastaarabu ilishatoka huko miaka sana!
Mnachinja na kuchoma watu nan anataka dini ya hivyo?
Mashallah wanajitambua Sasa
Somalia ni waislam karibia asilimia 100% ila ni nchi imejaa shida za kila aina, na mojawapo ya nchi iliyojaa rushwa. Kuna mambo ambayo dini haisadii.
Wekezeni kwenye elimu kwanza
Wekezeni kwenye elimu kwanza
Hii habari inaonekana ni mwiba kwako,imekuuma sana eeh! Kunywa maji utulie usije pata vidonda vya tumbo kwa chuki.Wekezeni kwenye elimu kwanza
kaangalie wasomalia wanawalalamikia alshabab hawakujua kuwa itakuww tough vile , mirungi wanaitumia kwa memories tuThank God no more VIROBA
adabu ya kuchinja wanadamu wenzio + kukandamiza wanawakeTunajifunza Adabu kwanza ndio Elimu
Nyie Elimu kwanza, Adabu zero
Kama Nabii tito au mfalme Zumaridi?Wekezeni kwenye elimu kwanza