Usikose kusoma maelezo ya picha hii👇🏽

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
4,845
2,000
Nimeshangaa kuona jeshi la ardhin la urusi linali pigana huko ukrsine linaongozwa na waislam wa ki-Chechenia
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
20,160
2,000
adabu ya kuchinja wanadamu wenzio + kukandamiza wanawake

Acha hasira basi
Twende taratibu wala usiende mbali angalia nyumbani kwanza utawala uliopita
Mliishi kwa woga chini ya utawala wa Kanisa
Kila jumapili kusali na kupanga nani afukuzwe na nani afe
Usisonte kidole kwa majirani angalia hapo ulipo amani umeiona baada ya muislam kushika nchi
Povu tena rukhsa
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
20,160
2,000
adabu ya kuchinja wanadamu wenzio + kukandamiza wanawake

Heshima na adabu ndio misingi yetu
Nyie Elimu mnasoma ili muibe
Weka takwimu za majina ya wakurugenzi na wote walioiba hela za miradi naapa Mungu 90% ni wakristo na ukweli ndio huo

Elimu bila adabu ndio maana mnakuwa hamheshimu mali za umma na nyie ndio wala Rushwa wakubwa
Weka idadi ya majizi kwa majina hapa kama sio kina John na George na William

Mpaka Maaskofu wakalamba za Ruge ndugu yako
Utakuta na baba yako alipata mgao kanisani
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
20,160
2,000
kaangalie wasomalia wanawalalamikia alshabab hawakujua kuwa itakuww tough vile , mirungi wanaitumia kwa memories tu

Hivyo viroba mliowauwa mkasema ni wa Ethiopian Kwa hiyo hao wakimbizi walistahili kuwekwa kwenye VIROBA
Bila Haya waziri mwenye dhamana tena dini yako akasema ni wa Ethiopia

Unaongea kitu hujui eti wasomali
Unaijua historia ya Somalia wewe mtoto

Roho mbaya mnayofundishwa kanisani haikusaidii chochote na huwezi kufanya lolote zaidi ya kelele za humu
I bet wewe ni muoga kama kunguru
 

Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
3,823
2,000
adabu ya kuchinja wanadamu wenzio + kukandamiza wanawake
Kumkandamiza kama nini vile? Uckimbie tu,,,

Mfano, dada yako akivaa nguo nusu uchi utamnyamazia!! ,,kuchangamana na wavulana mashuleni kwako ni sahihi pia!!! Kuwa Rijali bwana!
 

Marc Spector

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
2,513
2,000
Sasa hawa waliokuja kuponda hii habari, kuumia na kutukana shida ni nini na tatizo liko wapi hapo mpaka uchukie?
Ndio maana siku hizi siwezi kushangaa mtu akisema waafrika ndio wanaongoza kwa ubaguzi, chuki zisizo na msingi na roho mbaya.
Watu wanaojitambua na wenye akili mitazamo tofauti ya kidini kwao ni kitu cha kawaida sana na wala hakuna sababu ya kuanzisha chuki.
Lakini angalia humu waafrika kwa waafrika wanatukanana kwa sababu ya dini na ndio maana nasema dini ni kichocheo cha ujinga kwa baadhi au wengi ya waafrika (mfano hawa watukanaji humu).

Shida nimeitambua sasa, bila shaka ni wajinga, hamjitambui na hamna akili. pathetic.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom