Usikose kupita hapa tafadhali 🙏

Ricky22

Member
Aug 9, 2019
7
6
Mimi ni kijana wa kiume mwenye ambaye miaka 22 imepita tangu kuzaliwa kwangu.
* Ni muhitimu wa chuo ngazi ya diploma kwa masomo ya fizikia na biolojia,,, ila kutokana na eneo nililoko kukosa muamko wa elimu hivyo najikuta nikiwa nimekaa tu bila chochote Cha kufanya walau kujipatia riziki.
*Kwa upande flani naweza sema Kuna watu wengi wanategemea kutoka kwangu pia nami ndo hivyo nimekosa ramani yoyote.
*Wakuu niko tayari kufanya kazi yoyote iliyohalali,,,,, Ntafurahi kusikia kutoka kwenu Watanzania chochote kile chenye lengo la kujenga.
***Mungu awabariki Sana ***
 
Umehitimu lini chuo?
 
tafuta ajira mtandaoni
 
Masomo ya Physics na Biology pekee hayakupi ajira bali hukutayarisha kwenda kusomea taaluma fulani ambayo ndiyo inayoweza kukupa ajira. Kwa sasa hivi unachoweza kufanya labda ni kufundisha, kazi ambazo nazo sasa hivi zina ushindani mkubwa sana. Ningekushauri utafute chuo cha kusomea profession fulani, kama Biomedical Engineering, Laboratory Technician, au Research Management na vile vile kwenda nje kabisa ya masomo hayo na kuanza kitu tofauti kabisa.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom