Usikate tamaa hata kama ulivyopanga haijawa ,kukata tamaa ndio kufeli

moto wa maji

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
4,077
2,882
Haijalishi umepitia mangapi, kipindi gani ,wakati una umri gani hakuna kukata tamaa hata kama unaumwa amini utapona vizuri ukawa kama mwanzo.

Maisha yana mapambano mengi sana ambayo yanapelekea kuwa na furaha,chuki, ugomvi,huzuni muda wote lakini chamsingi kukaza kwenda mbele hakuna kukata tamaa.

Yote yanawezekana kwa imani maana imani ni ushindi tuendelee kupambana kwa kuomba MUNGU unae mwamini hakuna kukata tamaa.

Hata kama umefeli,umekosea Mara ngapi usijali maisha ndivyo yalivyo hakuna kukata tamaa .

Ukikata tamaa wewe ndio umefeli kabisa......
 
NI KWELI KABISA USEMAYO KIONGOZI

MARUFUKU KUKATA TAMAA
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom