USIJIVUNIE MWILI:Kijana wa Miaka 21 akiwa ndani ya Mwili wa mzee wa miaka 160

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5215771_3F9D3317000005784446742imagem21493196618660_jpg0140c9cec74082b08d8b63e0145536cf

5215785_3F9D3313000005784446742imagem101493196812149_jpgfa06b92e44cd93db73d192784870e7e8

5215801_3F9D32C1000005784446742Hehasthebodyofa160yearoldandwasexpectedtodiea131493196964941_jpg1ad0a1ea6bd1be9ee7b1eb44cc829b29

Mshukuru Mungu kwa kila Kitu, Usijivunie Mwili wala Muonekano maana ni zawadi ambayo Ulipewa sio kweli kwamba huyu Dogo alipenda yeye, Au sisi ni Bora kuliko yeye machoni pa Mwenyezi Mungu.

1:Anakuwa mara nane zaidi ya Ukuaji wa Mwanadamu wa kaidia
2:Wazazi wake walitaka kumuuza kwenye maonyesho.
Chanzo:
A 21-year-old man has the body of a 160-year-old
 
Mungu amtie nguvu..Huo ni ugonjwa wataalamu wanauita Progeria niliona pia binti mmoja wa South Africa ambaye pia ameshafariki alikuwa nao
 
Watanzania wanafiki sana!Utasikia kimtu kufupi cha nini,mi unene yote hii?Umezeeka wewe!Six pack ndiyo mpango mzima,Mara kibamia,mara kapigwa pasi sijui flat screen!!!Wanafiki wakubwa nyie!Ndio maana wengi tuna laana kujidai una huruma wakati mioyo yetu si safi
 
Back
Top Bottom