Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 9,540
- 33,973
Kurud nyumban kwanzia saa 3 na kuendelea alaf unarud umechoka balaa asubuhi unawaza uamke saa 10 au 11,nyumba chumba kmoja alaf hakina hata hadhi kivile unakuta unalipa 60k+ bado nauli kila siku unatoaduuh na unatoka saa kumi nyumbai unaingia saa 3 usiku
Unaweza kumaliza miaka 6 unafanya kaz ya kutafutia tumbo tu maana gharama unazotumia kuendesha maisha n kubwa mno kwa mikoan ungeweza kusave na kdogo ungeweza hata kutafuta kiwanja chako na kuanza kaujenzi, ila dar hata ukiwa na 3M ktu pekee utakacho waza n bata tu maana huwez kupata kiwanja mjin ila mikoan ukiwa nayo hiyo tyar una kiwanja na trip kadhaa za mawe.
Dar wanafaidi wenye pesa tu mimi nimeamua kuondoka huko, n miaka 6 sasa lakin nashukuru Mungu nimepiga maendeleo kias chake tofaut na muda nilio utumia kuish dar na nikaondoka na vtu vya ndan tu.