Usijaribu kula nyama ukiwa mkoa wa Tanga

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Jamani huwezi amini mpaka sasa ni mwezi na Watu wanauziwa mizoga ya ng'ombe jijini Tanga na wahusika wa Afya wapo wanaangalia tu!

Kilo ya nyama 2000 mpaka 1500 na wakuu wapo wanaangalia tu.
 
hatari lakini salama ,Nyama iliyoharibika mbona inajulikana watu wanshindwaje kuitambua kama haifai kuliwa ?
 
Jamani wezi amini mpaka sasa ni mwezi na. Watu wanauziwa mizoga ya ngombe jiji Tanga na wausika wa Afya wapo wanaangalia tu!
Kilo ya nyama 2000 mpaka 1500 na wakuu wapo wanaangalia tu.

Kaka una evidence???
 
Nunua zilizopitisha na departiment of kilimo na mifungo...huwa zina mihuri kama sikosei,au dole gumba la mjumbe wa nyumba kumi..... hahahaha....tanga kunani
 
Arusha bei ya nyama ya ng`ombe kwa kilo ni 4000/=.Lakini katika eneo linaloitwa Shamsi kuna jamaa wanauza kwa 2000/= kwa kilo, tena wanapiga debe kwa kutumia hizi spika za wauza mitumba au wauza dawa ya mende!Ni jambo la ajabu sana...kuna rafiki yangu alinunua nyama hiyo, akaja kusema baada ya kuipika alishtuka kuona mchuzi ni wa NJANO bila kutiwa chochote...lol! Nina shaka ni nyama ya wanyama fulani, na si ng`ombe
 
Dah "shamsi" kamanda nimeishi mtaa ile miaka ya 1998-2000 inawezekana Nyama ya ng'ombe wanaokufa kwa njaa UMASAINI huko mkuu
 
Dah "shamsi" kamanda nimeishi mtaa ile miaka ya 1998-2000 inawezekana Nyama ya ng'ombe wanaokufa kwa njaa UMASAINI huko mkuu

Nadhani ni hivyo!Lakini mbona serikali ipo kazini masaa yote, ina maana hawajagundua hili?
 
Jamani wezi amini mpaka sasa ni mwezi na. Watu wanauziwa mizoga ya ngombe jiji Tanga na wausika wa Afya wapo wanaangalia tu!
Kilo ya nyama 2000 mpaka 1500 na wakuu wapo wanaangalia tu.

1. Kama una tabia ya kununua nyama ya "mafungu" vichochoroni, unaweza kulishwa hata nyama ya mbwa, si Tanga tu, popote.

2. Inawezekana nyama kuuzwa 2000 mpaka 1500 kama muuzaji ni mfugaji. Wauzaji wengi wa nyama Tanga ni wafugaji. Wanauza nyama ya madume ya ziada.
 
bure aghali , ni kama biashara ya simu unafahamu kabisa simu hii bei yake haipungui laki sita halafu wewe unauziwa kwa laki mbili tu na unajiona mjanja
 
Jamani wezi amini mpaka sasa ni mwezi na. Watu wanauziwa mizoga ya ngombe jiji Tanga na wausika wa Afya wapo wanaangalia tu!
Kilo ya nyama 2000 mpaka 1500 na wakuu wapo wanaangalia tu.

Mzoga unauzika kwelii ???..........!
 
Jamani wezi amini mpaka sasa ni mwezi na. Watu wanauziwa mizoga ya ngombe jiji Tanga na wausika wa Afya wapo wanaangalia tu!
Kilo ya nyama 2000 mpaka 1500 na wakuu wapo wanaangalia tu.

Hiyo nyama ina mhuri kaka? Mmejaribu kureport kwenye mamlaka husika? Heri yangu i ugenini nakulaga kitimoto na samaki tu!
 
Back
Top Bottom