Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

Well said Mshana Jr, Waafrika hatuendelei kwasababu ya uchawi. Kila ukoo una wachawi. Unaanza kurogwa kwenye ukoo wako, unapata demu, anaenda kukufunga ili umuoe, mkiachana hakufungui, unapata mwingine naye anakufunga vifungo vyake, Hadi unakuja kuoa umefungwa Sana. Shuleni unarogwa, kazini unarogwa, mtaani unarogwa, Ni sheeeeeda

Jr
 
.... Ni vema sasa kabla mtu haja fall in love.. Mapema kabisa acheki historia ya mhusika tangu kijijini
Mshana Jr,umepiga penyewe Leo,yaani nilipoona huu Uzi nikakamilisha niliyokuwa siyaamini.
Kwa bahati mbaya niliyoyabeba ndani ya moyo wangu nashindwa kuyamwaga hapa jukwaani maana baba mkwe yumo humu tena ni mtu maarufu humu.
Nina mshukuru Mungu napumua,niliapa mtoto wangu kamwe hata kuja kuoa/kuolewa familia nisiyo ihakiki.


Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Hapana sio kweli kabisa... Lile ni tego huwezi kutoa siri... BTW mkishaachana hilo tego halina nguvu tena... Sanasana anaweza kukufunga nyota ama kizazi kwa kutumia nguo yako hasa ya ndani, pedi uliyotumia au nywele zako
Naomba nikuulize kitu mshana tofauti na mada,
Je x wako anaweza akakufanyai dawa kisa tu mmegombana ili ukikutana na mpenzi mwingine unase yaan mnatiane au jamaa anatutisha.

Kuna jamaa ameachana na mdogoangu eti anamtisha akipata mpz mpya wakidoo wananata mpaka wamtafute, mm nikamwambia ni uongo kwan mumeo Huyo.

Ufafanuz plz ututoe wasiwasi au jamaa anapiga mikwala

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Changamoto ndio iko hapa.. Lakini ukijua ni lazima uende ukawachane live.... Na ili kupata ujasiri wengi hutumia mmea ambao pia wachawi hawapatani nao kabisa.... Kingine kizuri ni yale matumizi ya chumvi ya mawe
Utafanyaje Kama ndio umeshaingia kwenye hiyo familia? Njia ya kuyaepuka na vikwazo vyote hivyo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Neno mchawi limeandikwa mara nane kwenye Biblia tena kwa mkazo; neno wachawi limeandikwa mara ishirini, uchawi mara kumi na nne, uganga mara kumi na nane, waganga mara ishirini na moja na mapepo mara mia moja na arobaini na moja. Ni muhimu na lazima mambo haya yahubiriwe ili watu waweze kuyaelewa na waweze kuwa huru. “Tena mtu mume au mtu mke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa; watawapiga kwa mawe; damu yao itakuwa juu yao.” Walawi 20:27 Maana ya Laana Laana ni zaidi ya kuwa mgonjwa. Ni pale ambapo maisha ya mtu yanakosa muelekeo; kila unalolianza hulimalizi, ikiwa asubuhi unatamani iwe mchana na mchana unatamani iwe usiku. Ukiwa huna watoto unawatamani ukiwapata unatamani usingekuwa nao. Hayo ndio maisha ya laana. Yaliyojaa misukosuko, kukosa amani na furaha kutoweka kabisa. Laana inaweza kumpata mtu kutoka kwa mchawi au mshirikina ambaye anakuwa na wivu juu ya maisha yako. Ni vizuri ujue kuwa katika kila familia lazima kunakuwa na mtu mshirikina au mchawi. Na siku zote kamba za kufungwa na mtu anayekujua zinatenda kazi vizuri kuliko kamba za mtu asiyekujua

Jr
Mwanamke wangu akinifunga kamba anakuwa kanifunga zakunijua au zakutonijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye mpango mshana apate scholarship jmn...
IMG_20191217_191243_412.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom