Usihangaike tena kuchagua pc nzuri kwa hela uliyonayo

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
It comes a time umeenda dukani na unapata wakati mgumu kuchagua pc, Kwanza kabisa nasikitika watu wanavyochaguaga pc kwa kihezo cha ukubwa wa hard disk au ram, Hivi ni vitu ambavyo vinaongezeka kirahisi kwa bei chee kabisa.

Muhimu kuliko vyote unapoenda kuchagua pc elekeza umakini wako kwenye processor ya pc unayotaka kununua, Hapa kumekuwa pia na watu ambao wamekaririshwa makapi, Unakuta mtu anachagua pc kwa kutafuta pc yenye core i7 akidhani ya kwamba pc yenye core i7 inazizidi uwezo pc zote zenye core i5 kushuka chini hadi huko celeron, Kama wewe ni moja wao hawa basi muda wote ulikuwa haupo sahihi, Pc yenye core i5 7th edition inaweza kuizidi pc yenye core i7 4th generation.

Kama umefikia muafaka wa kununua pc au ikitokea situation kuna pc mbili au zaidi kwa bei moja basi linganisha na ukague processor zake kwa link ninayoweka hapa chini kwa kuandika jina zima na model ya processor mfano intel core i7 - 7200 u

kama hujui jina la processor minya start kisha search "dxdiag" utaona jina la processor ya computer kwenye sehemu iliyoandikwa processor

PassMark - CPU Performance Comparison
 
Core i7 or i4 inasomeka kwenye kale ka stika na kwenye my computer uki right click kama sikosei je hizo GENERATION unazitamazaje kwenye PC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom